Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi awasili kisiwani Pemba kushiriki matembezi na Mazoezi ya Viungo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi leo amepokelewa na Viongozi wa Serikali wakati alipowasili Kisiwani Pemba kushiriki matembezi na Mazoezi ya Viungo tr 01 jan 2023 kwa kuukaribisha Mwaka mpya,sambamba na uzinduzi wa miradi mbali mbali ya mendeleo katika maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.[Picha na Ikulu] 31/12/2022.


 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.