Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi mgeni rasmi katika uzinduzi rasmi Studio za WASAFI FM Zanzibar 88.9 leo


Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akisalimiana na  Mkurugenzi Mkuu wa Wasafi Media Ndg,Abdul Nasib (Diamond)    wakati wa uzinduzi rasmi  Studio za WASAFI FM Zanzibar 88.9  Kilimani Jijini Zanzibar   leo  mgeni rasmi alikuwa   RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi [Picha na Ikulu] 13/12/2022.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto)   akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Wasafi Media Ndg,Abdul Nasib (Diamond) wakati wa uzinduzi rasmi  Studio za WASAFI FM Zanzibar 88.9 zilizopo Kilimani Jijini Zanzibar (kulia)  Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam  [Picha na Ikulu] 13/12/2022. 
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati)   akisalimiana na Viongozi mbali mbali  wakati wa hafla ya uzinduzi rasmi  wa Studio za WASAFI FM Zanzibar 88.9 zilizopo Kilimani Jijini Zanzibar (kushoto) Mkurugenzi Mkuu wa Wasafi Media Ndg,Abdul Nasib (Diamond)  [Picha na Ikulu] 13/12/2022. 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) alipokuwa akizungumza na  Mkurugenzi Mkuu wa Wasafi Media Ndg,Abdul Nasib (Diamond) akiwa katika   Ofisi za  Studio za WASAFI FM Zanzibar 88.9 katika uzinduzi rasmi wa Studio hizo uliofanyika leo Kilimani Jijini Zanzibar wakiwemo na watangazji na waandishi wa habari. [Picha na Ikulu] 13/12/2022.
Mkurugenzi Mkuu wa Wasafi Media Ndg,Abdul Nasib (Diamond) alipokuwa akizungumza na machache wakati wa uzinduzi rasmi  Studio za WASAFI FM Zanzibar 88.9 leo katika Ofisi za Wasafi Media Kilimani Jijini Zanzibar,uliofanywa na RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani). [Picha na Ikulu] 13/12/2022.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi  (kulia)   alipokuwa akimkabidhi cheti cha Usajili wa Studio za WASAFI FM Zanzibar 88.9  Mkurugenzi Mkuu  Ndg,Abdul Nasib (Diamond)  wakati wa  hafla ya  uzinduzi rasmi  wa  Studio hizo zilizozinduliwa leo  Kilimani Jijini Zanzibar [Picha na Ikulu] 13/12/2022.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akikata utepe kuzindua rasmi  Studio za WASAFI FM Zanzibar 88.9 leo katika Ofisi za Wasafi Media Kilimani Jijini Zanzibar,(wa pili kushoto) Mkurugenzi Mkuu wa Wasafi Media Ndg,Abdul Nasib (Diamond), Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe,Idrisa Kitwana Mustafa(kushoto), Mke wa Rais Mama Mariam Mwinyi (wapili kulia)na Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Mhe,Tabia Maulid Mwita.[Picha na Ikulu] 13/12/2022.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi  alipokuwa akizungumza na Viongozi na Wananchi wakati wa    uzinduzi rasmi  wa Studio za WASAFI FM Zanzibar 88.9 zilizopo Kilimani Jijini Zanzibar hafla iliyofanyika leo  [Picha na Ikulu] 13/12/2022. 

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.