Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi akutana na Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana Tanzania Taifa (UVCCM) Ikulu

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana Tanzania Taifa (UVCCM) Ndg.Mohamed Ali Kawaidi, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar na Uongozi wa (UVCCM) kwa mazungumzo na kumpongeza kwa kuchaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo 13-12-2022, na (kulia kwake) Makamu Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Bi.Rehema Sombi.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Uongozi wa UVCCM Taifa ukiongozwa na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Ndg. Mohamed Ali Kawaida (kulia kwa Rais) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kumpongeza kwa kuchaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 13-12-2022.(Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.