Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Mwinyi Amejumuika na Wananchi Katika Sala ya Ijumaa Iliyofanyika Msikiti Mkuu wa Ijumaa Malindi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waumini wa dini ya Kiislamu  mara baada kujumuika katika Swala ya Ijumaa katika  Msikiti Mkuu wa Ijumaa Malindi Zanzibar leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) pamoja na Viongozi na   Waumini wa dini ya Kiislamu  wakiitikia dua iliyosomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi mara baada kujumuika katika Swala ya Ijumaa katika  Msikiti Mkuu wa Ijumaa Malindi 
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiagana na Viongozi wa Msikiti Mkuu wa Ijumaa wa Malindi leo mara baada ya   kujumuikanao  katika Swala ya Ijumaa pamoja na Waumini mbali mbali .[Picha na Ikulu]
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.