Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Mwinyi Ahutubia Mahafali ya 20 ya Chuo cha Zanzibar Univesity (ZU) Zanzibar Kibele Wilaya ya Kati Unguja leo

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa Zanzibar University  (ZU) alipowasili katika viwanja  Chuo hicho kwa ajili ya kuhudhuria Mahafali ya 20 ya Chuo hicho yaliyofanyika leo 21-12-2022.RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi maalum na Chancellor wa Chuo cha Zanzibar University.Eng.Dr.Abulqadir Othman Hafiz, baada ya kumalizika kwa Mahafali ya 20 ya Chuo hicho yaliyofanyika leo 21-12-2022, katika viwanja vya Chuo Kibele Wilaya ya Kati Unguja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoka katika viwanja vya Chuo cha Zanzibar Univesity (ZU) baada ya kumalizika kwa Mahafali ya 20 ya Chuo hicho yaliyofanyika leo 21-12-2022, na (kushoto kwac Rais) Chancellor.wa Chuo cha Zanzibar Univesity Eng.Dr.Abulqadir Othman Hafiz na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe. Rashid Hadidi Rashid
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwapungia mkono Wahitimu ya Chuo cha Zanzibar Univesity (ZU) baada ya kumalizika kwa Mahafali ya 20 ya Chuo hicho yaliofanyika leo 21-12-2022, katika viwanja vya Chuo Kibele Wilaya ya Kati Unguja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Chancellor wa Chuo cha Zanzibar Univesity (ZU) Eng.Dr.Abulqadir Othman Hafiz, baada ya kumalizika kwa Mahafali ya 20 ya Chuo hicho yaliyofanyika leo katika viwanja vya Chuo Kibele Wilaya ya Kati Unguja
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.