Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi Azungumza na Waandishi wa Habari wa Vyombo Mbalimbali Ikulu Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waandishi wa Habari wa Vyombo mbalimbali ikiwa ni kawaida yake kukutana na Waandishi kila mwisho wa mwezi, mkutano huo uliyofanyika leo 31-12-2022 katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.

WAANDISHI wa Habari wa vyombo mbalimbali wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza na waandishi ikiwa ni kawaida yake kila mwisho wa mwezi, mkutano huo uliofanyika leo 31-12-2022, katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
WAANDISHI wa Habari wa vyombo mbalimbali wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza na waandishi ikiwa ni kawaida yake kila mwisho wa mwezi, mkutano huo uliofanyika leo 31-12-2022, katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.

Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said akifuatilia mkutano wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali.(hayupo pichani) wakati wa mkutano na Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali uliyofanyika leo 31012-2022 katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar. 
MWANDISHI wa Habari mwandamizi Zanzibar Ndg. Salum Vuai akiuliza swali wakati wa mkutano wa Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, uliyofanyika leo 31-12-2022 katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
MWANDISHI wa Habari wa Gazeti la Uhuru na Mzalendo Bi. Hanifa Ramadhani akiuliza swali wakati wa Mkutano wa Waandishi wa habari na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi uliyofanyika leo 31-12-2022, katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
MWANDISHI wa Habari Mwandamizi Tanzania Ndg. Jabir Idrisa akiuliza swali wakati wa mkutano wa Waandishi wa habari na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi uliyofanyika leo 31-12-2022, katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.