Muonekano majengo ya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi ambayo Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alikagua ujenzi wake akiwa katika siku ya kwanza ya ziara ya Mkoa wa Katavi, Disemba 12, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Mganga Mkuu wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi, Dkt. Patrice Sarafine (kulia) kuhusu ujenzi wa Hospitali hiyo iliyopo Mpanda, Disemba 12,2022. Waziri Mkuu alikuwa katika siku ya kwanza ya ziara ya kikazi mkoani humo.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Mganga Mkuu wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi, Dkt. Patrice Sarafine kuhusu ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi iliyopo Mpanda, Disemba 12,2022. Waziri Mkuu alikuwa katika siku ya kwanza ya ziara ya kikazi mkoani humo
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Mganga Mkuu wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi, Dkt. Patrice Sarafine kuhusu ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi iliyopo Mpanda mjini, Disemba 12,2022. Waziri Mkuu alikuwa katika siku ya kwanza ya ziara ya kikazi mkoani humo
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama mashine ya maabara wakati alipokagua ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi akiwa katika siku ya kwanza ya ziara ya kikazi mkoani Katavi,
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kukagua ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi akiwa katika ziara ya kikazi ya Mkoa wa Katavi, Disemba 12, 2022.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment