Mkurugenzi wa City College of Health Ilala Campus Dar es Salaam Ndg. Shabani Mwanga akimkabidhi fedha taslim shilingi laki mbili Mchezaji wa Timu ya Azam James Akaminko kwa kuibuka mshindi wa Fair Play katika mchezo wa Kombe la Mapinduzi kati ya Timu ya Azan na Jamhuri mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan Timu ya Azam imeshinda mchezo huo kwa bao 3--0.
TET NA TANZANIA AI COMMUNITY KUSHIRIKIANA KUBORESHA UFUNDISHAJI KWA
TEKNOLOJIA YA AI
-
TAASISI ya Elimu Tanzania (TET) imepanga kufanya mafunzo ya kukuza uwezo
kwa wakuza mitaala na walimu nchini kwa kutumia Akili Mnemba (AI) ili
kukuza ufani...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment