Habari za Punde

Mhe Othman akutana na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania

MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman  (kulia), akizungumza na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Rick Shearn, wakati balozi huyo alipofika ofisini kwa Makamu Migombani mjini Zanzibar leo tarehe 25.01.2023 kwa mazungumzo mbali mbali yanayohusu ushirikiano. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Kupitia Kitengo chake cha Habari).

MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman  (kulia), akizungumza na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Rick Shearn, wakati balozi huyo alipofika ofisini kwa Makamu Migombani mjini Zanzibar leo tarehe 25.01.2023 kwa mazungumzo mbali mbali yanayohusu ushirikiano. Kulia kwa Balozi ni Mkuu wa Kitengo cha Mazingira na Mabadiliko ya Tabia nchi katika Ubalozi huo Catherine Pye. ( Picha na Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Kupitia Kitengo chake cha Habari).

Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Rick Shearn (kulia), na Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar Nd. Daima Mohammed Mkalimoto (kushoto) wakiongoza Kikao cha majadiliano ya wataalamu wa mazingira kuhusu maeneo mbali mbali ya mashirikiano na Serikali ya Uingereza. Kikoa hicho kimefanyika ofisini kwa Makamu Migombani mjini Zanzibar leo tarehe 25.01.2023 . ( Picha na Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Kupitia Kitengo chake cha Habari). 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.