MAKAMU wa
Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman (kushoto), akisalalimiana
na Kadhi Mkuu mstaafu Sheikh Khamis Haji
ambaye ni mgonjwa wakati Mhe. Makamu alipomtembelea kumjulia Hali
nyumbani kwake Magogoni Magharib B Unguja leo tarehe 24.01.23 ( Picha na Ofisi
ya Makamu wa Kwanza wa Rais Kupitia Kitengo cha Habari).
MAKAMU wa
Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman (kulia), akizungumza na Sheikh Khamis Yussuf Khamis ambaye ni Amiri wa Jumiya ya Answar Sunna na
pia Naibu Katibu wa Jumuiya ya Maimamu Zanzibar (JUMAZA) ambaye ni mgonjwa
wakati Mhe. Makamu alipomtembelea kumjulia Hali nyumbani kwake Magomeni Kwa Ayuba
wilaya ya Mjini Unguja leo tarehe 24.01.23 ( Picha na Ofisi ya Makamu wa Kwanza
wa Rais Kupitia Kitengo cha Habari).
No comments:
Post a Comment