Mchezaji wa Timu ya Yanga akimpita mchezaji wa Timu ya Singida Big Stars wakati wa mchezo wao wa Kombe la Mapinduzi uliofanyika katika Uwanja wa Amaan Unguja Jijini Zanzibar juzi, timu hizo zimetoka sare ya bao 1--1.
Waamizi wa mchezo wa Yanga na Singida Big Stars wakiingia uwanja na Timu hizo kwa ajili ya pambano la Kombe la Mapinduzi mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan Unguja Jijini Zanzibar.
No comments:
Post a Comment