Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezi Tabia Maulid Mwita akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Mashine na Mitambo KMKM (C,D,R)Kamanda Haji Mohamed Abuu kuhusiana na Ujenzi wa Ofisi na Hanga la Maaskari wa KMKM katika hafla ya Uwekaji wa Jiwe la msingi Jengo hilo Kibwengo Kaskazini Unguja Ikiwa ni Shamra Shamra za miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
MZIZE ABEBA TUZO YA GOLI BORA LA MWAKA CAF 2025
-
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV
Mchezaji wa klabu ya Dar es Salaam Young Africans na timu ya Taifa ya
Tanzania, Clement Mzize amefanikiwa kuchukua tuzo y...
11 hours ago

No comments:
Post a Comment