Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi aweka jiwe la msingi Viwanja vya Michezo Matumbaku, Miembeni Jijini Zanzibar

Rais wa Zanzibar na  Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe  Mama Mariam Mwinyi  (katikati) akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mwendeshaji wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii ZSSF Ndg.Nassor Shaaban Ameir (wa tatu kushoto) wakati alipoangalia michoro ya Ujenzi wa Viwanja vya Michezo Matumbaku,Miembeni Jijini Zanzibar leo , katika shamra shamra za  miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,ambapo viwanja hivyo vilivyojengwa na Serikali ya Mapinduzi kwa fedha za Uviko 19 kupitia Shirika la Fedha Duniani IMF.[Picha na Ikulu] 09/01/2023.
Rais wa Zanzibar na  Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi(wa pili kulia) akifungua pazia kuweka jiwe la msingi Viwanja vya Michezo Matumbaku,Miembeni Jijini Zanzibar ,vilivyojengwa na Serikali ya Mapinduzi kwa fedha za Uviko 19 kupitia Shirika la Fedha Duniani IMF,sherehe zilizofanyika leo katika shamra shamra za  miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar (kulia) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi.[Picha na Ikulu] 09/01/2023.
Rais wa Zanzibar na  Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi(katikati) Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe,Hemedi Suleiman Abdulla (wa pili kushoto) Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya ZSSF Dkt.Hudda A.Yussuf (kushoto) Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe.Zubeir Ali Maulid,(kulia) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango Mhe.Dkt.Sada Mkuya Salum (wa pili kulia) wakisimama Wimbo wa Taifa ukipigwa wakati wa kuweka jiwe la msingi Viwanja vya Michezo Matumbaku,Miembeni Jijini Zanzibar ,vilivyojengwa na Serikali ya Mapinduzi kwa fedha za Uviko 19 kupitia Shirika la Fedha Duniani IMF,sherehe zilizofanyika leo katika shamra shamra za  miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.[Picha na Ikulu] 09/01/2023
Viongozi mbali mbali pamoja na Wakuu wa Vikosi vya Uluinzi wakisimama wakati Wimbo wa Taifa ukipigwa katika hafla ya   uwekaji wa  jiwe la msingi Viwanja vya Michezo Matumbaku,Miembeni Jijini Zanzibar ,vilivyojengwa na Serikali ya Mapinduzi kwa fedha za Uviko 19 kupitia Shirika la Fedha Duniani IMF,sherehe zilizofanyika leo katika shamra shamra za  miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.[Picha na Ikulu] 09/01/2023.
Vijana wa Jeshi ya Kujenga Uchumi JKU, wakisimama wakati Wimbo wa Taifa ukipigwa katika hafla ya   uwekaji wa  jiwe la msingi Viwanja vya Michezo Matumbaku,Miembeni Jijini Zanzibar ,vilivyojengwa na Serikali ya Mapinduzi kwa fedha za Uviko 19 kupitia Shirika la Fedha Duniani IMF,sherehe zilizofanyika leo katika shamra shamra za  miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.[Picha na Ikulu] 09/01/2023.
Vijana wa Jeshi ya Kujenga Uchumi JKU, wakishangilia wakati  Mkurugenzi Mwendeshaji wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii ZSSF Ndg.Nassor Shaaban Ameir (hayupo pichani) alipokuwa akizungumza kuhusiana na Ujenzi katika hafla ya   uwekaji wa  jiwe la msingi Viwanja vya Michezo Matumbaku,Miembeni Jijini Zanzibar ,vilivyojengwa na Serikali ya Mapinduzi kwa fedha za Uviko 19 kupitia Shirika la Fedha Duniani IMF,sherehe zilizofanyika leo katika shamra shamra za  miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.[Picha na Ikulu] 09/01/2023.

Wafanyakazi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii ZSSF wakifuatilia kwa makini taarifa iliyotolewa na  Mkurugenzi Mwendeshaji wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii ZSSF Ndg.Nassor Shaaban Ameir (hayupo pichani) alipokuwa akizungumza kuhusiana na Ujenzi katika hafla ya   uwekaji wa  jiwe la msingi Viwanja vya Michezo Matumbaku,Miembeni Jijini Zanzibar ,vilivyojengwa na Serikali ya Mapinduzi kwa fedha za Uviko 19 kupitia Shirika la Fedha Duniani IMF,sherehe zilizofanyika leo katika shamra shamra za  miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.[Picha na Ikulu] 09/01/2023
Mkurugenzi Mwendeshaji wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii ZSSF Ndg.Nassor Shaaban Ameir (kulia) alipokuwa akizungumza kuhusiana na Ujenzi katika hafla ya   uwekaji wa  jiwe la msingi Viwanja vya Michezo Matumbaku,Miembeni Jijini Zanzibar ,vilivyojengwa na Serikali ya Mapinduzi kwa fedha za Uviko 19 kupitia Shirika la Fedha Duniani IMF,sherehe zilizofanyika leo katika shamra shamra za  miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.[Picha na Ikulu] 09/01/2023.
Rais wa Zanzibar na  Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi(kushoto) akisisitiza jambo alipokuwa akitoa hutuba yake wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi Viwanja vya Michezo Matumbaku,Miembeni Jijini Zanzibar ,vilivyojengwa na Serikali ya Mapinduzi kwa fedha za Uviko 19 kupitia Shirika la Fedha Duniani IMF,sherehe zilizofanyika leo katika shamra shamra za  miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar (kulia)Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe,Hemedi Suleiman Abdulla, Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya ZSSF Dkt.Hudda A.Yussuf,Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Mhe.Tabia Maulid Mwita na Naibu Katibu Mkuu CCM Zanzibar Dr.Abdalla Juma Saadala.[Picha na Ikulu] 09/01/2023
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.