Habari za Punde

Maadhimisho ya Siku ya Saratani Duniani Yafanyika Zanzibar

Mkurugenzi Idara ya Kinga na Elimu ya Afya Zanzibar Dk,Salim Slimu akisisitiza jambo wakati akizungumza na Waandishi wa Habari katika hafla ya Maadhimisho ya siku ya saratani Duniani iliofanyika katika Ukumbi wa Wizara ya Afya Mnazi Mmoja
Mkurugenzi Idara ya Kinga na Elimu ya Afya Zanzibar Dk,Salim Slimu akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na Siku ya Saratani Duniani  na kuelezea hali ya ugonjwa huo hapa Zanzibar hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Wizara ya Afya Mnazi Mmoja Mjini Unguja
Muandishi wa Habari wa ITV Farouk Karim akiuliza maswali katika hafla ya Maadhimisho ya siku ya saratani Duniani iliofanyika katika Ukumbi wa Wizara ya Afya Mnazi Mmoja 
Baadhi ya Waandishi wa Habari waliohudhuria katika hafla ya Maadhimisho ya siku ya saratani Duniani iliofanyika katika Ukumbi wa Wizara ya Afya Mnazi Mmoja 
Meneja Kitengo cha Maradhi yasioambukiza Dk,Omar Mohamed Suleiman akitoa ufafanuzi wa Baadhi ya Maswali yalioulizwa na Waandishi wa Habari katika hafla ya Maadhimisho ya siku ya saratani Duniani iliofanyika katika Ukumbi wa Wizara ya Afya Mnazi Mmoja.
Picha na Yussuf Simai - Maelezo  Zanzibar.
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.