RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Uongozi wa Kitaifa
wa Jumuiya ya Ahmadiyya Muslim Jamaat
Tanzania ukiongozwa na Amir Mbashiri Mkuu Sheikh. Tahir Mahmood (kulia kwa
Rais) na Naibu Amir Sheikh.Abdulrahaman Mohammed Ame, walipofika Ikulu Jijini
Zanzibar kwa mazungumzo na
kujitambulisha leo 4-2-2023, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa
Ikulu Zanzibar
RAIS wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Naibu Amir wa Jumuiya ya
Ahmadiyya Muslim Jamaat Tanzania Sheikh.Abdulrahaman Mohammed Ame, akiwasilisha
maelezo ya kazi zinazofanywa na Jumuiya hiyo, wakati wa mazungumzo yao
yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 4-2-2023 na (kulia kwa Rais) Amir Mbashiri
Mkuu wa Jumuiya ya Ahmadiyya Muslim Jamaat Tanzania Sheikh.Tahir Mahmood.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Amir
Mbashiri Mkuu wa Ahmadiyya Muslim Jamaat Tanzania Sheikh.Tahir Mahmood,
alipofika Ikulu na Uongozi wake wa Kitaifa kwa ajili ya mazungumzo na
kuitambulisha Jumuiya yao, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu
Jijini Zanzibar leo 4-2-2023.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Msahafu na Amir Mbashiri Mkuu wa Jumuiya ya
Ahmadiyya Muslim Jamaat Tanzania.Sheikh Tahir Mahmood, uliotafsiriwa kwa Kiswahili na Jumuiya hiyo,
baada ya kumalizika kwa mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu
Jijini Zanzibar leo 4-2-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Amir Mbashiri Mkuu wa Jumuiya
ya Ahmadiyya Muslim Jamaat Tanzania.Sheikh Tahir Mahmood , baada ya kumalizika
kwa maungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 4-2-2023, walipofika kwa ajili ya
mazungumzo na kujitambulisha.
No comments:
Post a Comment