Habari za Punde

Matukio ya Picha Kutoka Bungeni Dodoma

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Kinondoni, Abbas Tarimba, kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Wabunge kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Kutoka kushoto ni Mbunge wa Viti Maalum, Janet Masaburi na Mbunge wa Uyui, Almasi Maige. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.