Habari za Punde

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Philip Mpango Azungumza na Mwanamfalme wa Dubai

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akizungumza na Mwenyekiti wa kampuni ya Blue Carbon LLC ambaye ni  Mwanamfalme wa Dubai Mheshimiwa Sheikh Ahmed Dalmook Al Maktoum, alipofika kumsalimia  Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja na Mwenyekiti wa kampuni ya Blue Carbon LLC ambaye ni  Mwanamfalme wa Dubai Mheshimiwa Sheikh Ahmed Dalmook Al Maktoum, mara baada ya kufika  Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja na Mwenyekiti wa kampuni ya Blue Carbon LLC ambaye ni  Mwanamfalme wa Dubai Mheshimiwa Sheikh Ahmed Dalmook Al Maktoum pamoja na ujumbe aliofuatana nao mara baada ya kufika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 06 Februari 2023.No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.