RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa fulana ikiwa na jina lake na Msanii wa Kizazi Kipya (Bongo Fleva)
Mbwana Yussuf Kilungi.(Mboso) baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika
katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa
Zanzibar Mama Mariam Mwinyi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Msanii wa Kizazi Kipya
(Bongo Fleva) Mbwana Yussuf Kilungi.(Mboso) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa
mazungumzo na kujitambulisha, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa
Ikulu Zanzibar
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akiwa
na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali
Mwinyi, wakati akikabidhiwa fulana na Msanii wa Kizazi Kipya (Bongo Fleva)
Mbwana Yussuf Kilungi (Mboso) baada ya kumaliza mazungumzo yake yaliyofanyika
katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi,
wakiagana na Msanii wa Kizazi Kipya (Bongo Fleva) Mbwana Yussuf Kilungi.(Mboso)
baada ya kumaliza mazungumzo yake yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini
Zanzibar

No comments:
Post a Comment