Habari za Punde

Kikosi cha Zimamoto na Uokoaji Zanzibar Wafanikiwa Kuudhibiti Moto Katika Eneo la Malindi Unguja

Askari wa Kikosi cha Zimamoto na Uokoaji Zanzibar wakiwa katika zoezi la uzimaji wa moto katika eneo la Malindi Wilaya ya Mjini Unguja, kwa mujibu wa mashuhuda wa ajali hiyo moto huo umetikea wakati mafundi wakiwa kazini wakikata vyuma kwa kutumia gesi katika moja ya kontena lililokuweko katika eneo hilo,linalohifadhiwa makontena.
Kikosi cha Zimamoto na Uokoaji wanefanikiwa kuudhibiti moto huo na hakuwa madhara yoyote kwa eneo la jirani na eneo hilo.   


 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.