Mwanamfalme wa Dubai ambaye pia ni Mwenyekiti wa kampuni ya Blue Carbon
Mhe. Sheikh Ahmed Dalmook Al Maktoum akiwasili katika Ofisi ya Makamu wa Rais eneo la Mtumba jijini Dodoma
na kupokelewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira)
Mhe. Dkt. Selemani Jafo na viongozi wengine akiwemo Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya
Makamu wa Rais (Mazingira) Dkt. Switbert Mkama kwa ajili ya kushiriki hafla ya kusaini hati ya makubaliano kati ya
kampuni hiyo na Wakala wa Huduma za Misitu (TFS) kuhusu biashara ya kaboni..JPG)
Kamishna Mkuu wa
Uhifadhi Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) Pro. Dos Santos Silayo
(kulia) na Bi. Josiane Sadaka wakisaini hati za makubaliano kuhusu biashara ya
kaboni kwa niaba ya TFS na kampuni ya Blue Carbon katika ukumbi wa Ofisi ya
Makamu jijini Dodoma
Waziri wa Nchi Ofisi
ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akizungumza
wakati wa hafla ya hafla ya
kusaini hati ya makubaliano kati ya kampuni hiyo na Wakala wa Huduma za Misitu
(TFS) kuhusu biashara ya kaboni
Mwanamfalme wa Dubai ambaye pia ni Mwenyekiti wa kampuni ya Blue Carbon
Mhe. Sheikh Ahmed Dalmook Al Maktoum akizungumza wakati wa hafla ya hafla ya kusaini hati ya makubaliano kati ya kampuni hiyo na Wakala
wa Huduma za Misitu (TFS) kuhusu biashara ya kaboni
Waziri Maliasili na
Utalii Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana akizungumza wakati wa hafla ya kusaini hati ya makubaliano kati ya kampuni hiyo na Wakala wa Huduma
za Misitu (TFS) kuhusu biashara ya kaboni
Ujumbe wa Tanzania
ukiwa katika hafla ya kusaini hati
ya makubaliano kati ya kampuni hiyo na Wakala wa Huduma za Misitu (TFS) kuhusu
biashara ya kaboni
Ujumbe wa Dubai,
Falme za Kiarabu ukiwa katika hafla ya
kusaini hati ya makubaliano kati ya kampuni hiyo na Wakala wa Huduma za Misitu
(TFS) kuhusu biashara ya kaboni
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano
na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo, Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe.
Balozi Dkt, Pindi Chana na viongozi mbalimbali kutoka Tanzania wakiwa katikan
picha ya pamoja na Mwanamfalme wa Dubai ambaye pia
ni Mwenyekiti wa kampuni ya Blue Carbon Mhe. Sheikh Ahmed Dalmook Al Maktoum na ujumbe wake mara
baada ya hafla ya hafla ya kusaini
hati ya makubaliano kati ya kampuni hiyo na Wakala wa Huduma za Misitu (TFS)
kuhusu biashara ya kaboni, leo February 06, 2023.
(PICHA NA
OFISI YA MAKAMU WA RAIS)
No comments:
Post a Comment