Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe.Simai Mohammed Said akiwa na Mwenyekiti wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar Bw. Rahim Bhaloo na Mkurugenzi Masaoko wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar,wakati katika banda la maonesho la Zanzibar, wakizungumza na Mdau wa Utalii kuazisha kwa safari za ndege za moja kwa moja kutoka Portugal hadi Zanzibar, kwa ajili ya kukuza Sekta ya Utalii kwa pande mbili hizo, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika banda la maonesho la Zanzibar, wakati wa Maonesho ya Sekta ya Utalii yanayofanyika Jijini Berlin Nchini Ujerumani.
Balozi wa Tanzania Nchini Ujerumani Mhe.Dk. Abdalla Possi akiwa katika mazungumzo na Watendaji Wakuu wa Taasisi za Sekta ya Utalii Tanzania wakiwemo, Mwenyekiti wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar.Bw.Rahim Bhaloo na Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) Bw.Damas Mfugale, wakiwa katika mazungumzo na Wadau wa Utalii wakati wa maonesho ya Sekta ya Utalii yanayofanyika Jijini Berlin Nchini Ujerumani.
Mwenyekiti wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar Bw. Rahim Bhaloo akiongoza mazungumzo na Wadau wa Sekta ya Utalii wakati wa Maonesho ya Kimataifa ya Wadau wa Utalii yanayofanyika Jijini Berlin Nchini Ujerumani na kuwashirikisha Wadau mbalimbali wa Utalii Duniani.
Mwenyekiti wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar Bw.Rahim Bhaloo akizungumza na Wadau wa Sekta ya Utalii wakiwa katika Banda la Maonesho la Kamisheni ya Utalii Zanzibar, katika Maonesho ya Kimataifa ya Sekta ya Utalii yanayofanyika Jijini Baelin Nchini Ujerumani na (kushoto kwake) Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Simai Mohammed Said na (kulia kwake) Mdau wa Sekta ya Utalii na Katibu Mtendaji wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar Bi. Hafsa Mbamba, wakiwa katika mazungumzo.
Mwenyekiti wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar.Bw, Rahim Bhaloo akizungumza na Mdau wa Utalii, kuhusiana na kuleta Watalii kutoka Nchi za Germany,Austria na Switzland, wakati wa Maonesho ya Kimataifa ya Wadau wa Sekta ya Utalii Duniani yanayofanyika Jijini Berlin Nchini Ujerumani, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika banda la maonesho la Kamisheni ya Utalii Zanzibar, wakati wa maonesho hayo yanayoendelea Jijini Berlin. na (kulia kwake) Katibu Mtendaji wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar.Bi. Hafsa Mbamba.
Mwenyekiti wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar Bw. Rahim Bhaloo akiwa kwenye mazungumzo na Mwenyekiti Mtendaji wa Hoteli za Mtandao wa Golden Tulip Duniani, wakati wa Maonesho ya Wadau wa Sekta ya Utalii Duniani yanayofanyika Jijini Berlin Nchini Ujerumani.
Mdau wa Sekta ya Utalii akizungumza na Mwenyekiti wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar.Bw.Rahim Bhaloo, wakiwa katika banda la maonesho la Kamisheni ya Utalii Zanzibar, wakati wa Maonesho ya Kimataifa ya Wadau wa Sekta ya Utalii Duniani yanayofanyika Jijini Berlin Nchini Ujerumani.Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe.Simai Mohammed Said na (kulia kwake) Katibu Mtendaji wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar.Bi. Hafsa Mbamba na ( kushoto kwake) Mwenyekiti wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar.Bw. Rahim Bhaloo na Mkurugenzi Masoko wa Kamisheni ya Utalii wakimsikiliza Mdau wa Sekta ya Utalii , wakati wa maonesho ya Kimataifa ya Wadau wa Utalii Duniani yanayofanyika Jijini Berlin Nchini Ujerumani
Mwenyekiti wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar Bw.Rahim Bhaloo akiwa katika mazungumzo na Meneja Masoko wa Shirika la Ndege la IBERIA kutoka Nchini Hispania (kushoto kwake) kuhusiana na kuazisha kwa safari za ndege kutoka Nchini Hispania hadi Zanzibar, wakati wa maonesho ya Kimataifa ya Wadau wa Sekta ya Utalii Duniani yanayofanyika Jijini Berlin Nchini Ujerumani
Mwenyekiti wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar Bw.Rahim Bhaloo akiagana na Meneja Masoko wa Shirika la Ndege la IBERIA, baada ya kumaliza mazungumzo yao wakati wa Maonesho ya Kimataifa ya Wadau wa Sekta ya Utalii Duniani yanayofanyika Jijini Berlin Nchini Ujerumani.
Mwenyekiti wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar Bw.Rahim Bhaloo akiwa katika picha ya pamoja na Mdau wa Sekta ya Utalii (kushoto kwake) na Watendaji Wakuu wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar.
Mwenyekiti wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar Bw.Rahim Bhaloo akiwa katika picha ya pamoja na Ujumbe wa Shirika la Ndege la Turkish Airline na Watendaji Wakuu wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar, baada ya kumaliza mazungumzo yao wakati wa Maonesho ya Kimataifa ya Wadau wa Sekta ya Utalii Duniani yanayofanyika Jijini Berlin Nchini Ujerumani.
Picha kwa Hisani ya Kamisheni ya Utalii Zanzibar.
No comments:
Post a Comment