Habari za Punde

WAZIRI MKUU AKAGUA HALI YA UWANJA WA BENJAMIN MKAPA

Waziri Mkuu Kassim akikagua hali ya Uwanja wa Mpira wa Miguu wa Benjamin Mkapa, baada CAF kutaka ufanyiwe marekebisho katika baadhi ya maeneo ,Machi 1, 2023 jijini Dar es salaam

Waziri Mkuu Kassim akikagua hali ya Uwanja wa Mpira wa Miguu wa Benjamin Mkapa, baada CAF kutaka ufanyiwe marekebisho katika baadhi ya maeneo ,Machi 1, 2023 jijini Dar es salaamWaziri Mkuu Kassim akifafanuliwa jambo na Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni Sanaa na Michezo, Said Yakub wakati akikagua hali ya Uwanja wa Mpira wa Miguu wa Benjamin Mkapa, baada CAF kutaka ufanyiwe marekebisho katika baadhi ya maeneo Machi 1, 2023 jijini Dar es salaam. Katikati ni Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo, Balozi Pindi Chana.
Waziri Mkuu Kassim akifafanuliwa jambo na Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo, Balozi Pindi Chana, wakati akikagua hali ya Uwanja wa Mpira wa Miguu wa Benjamin Mkapa, baada CAF kutaka ufanyiwe marekebisho katika baadhi ya maeneo Machi 1, 2023 jijini Dar es salaam. Kushoto ni Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni Sanaa na Michezo, Said Yakub.
Waziri Mkuu Kassim akuzungumza na Viongozi wa Wizara ya Utamaduni Sanaa na Michezo, Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Bodi ya Ligi na Baraza la Michezo Tanzania, wakati alipokagua hali ya Uwanja wa Mpira wa Miguu wa Benjamin Mkapa, baada CAF kutaka ufanyiwe marekebisho katika baadhi ya maeneo Machi 1, 2023 jijini Dar es salaam. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.