Rais Mstaaf wa Tanzania Alhajj Ali Hassan Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa Jumuiya ya Kuhifadhisha Quran Tukufu Tanzania, alipowasili katika viwanja vya Diamond Jubilee kuhudhuria Fainali za TUZO za Kimataifa za Quran Tukufu Tanzania yaliyofanyika leo katika ukumbi huo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi AlhajjDk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Ilala na Viongozi wa Jumuiya ya Kuhifadhi Quran Tanzania, alipowasili katika viwanja vya Diamond Jubilee kuhudhuria Fainali za TUZO za Kimataifa za Quran Tukufu Tanzania yaliyofanyika leo katika ukumbi huo.
MSHIRIKI
wa Mashindano ya Quran ya Fainali za TUZO za Kimataifa za Quran Tukufu Tanzania kutoka Nchini Sweden Abubaker Sharif Abubaker akisoma Quran wakati wa mashndano hayo yaliyofanyika katika
ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam leo 16-4-2023
MSHIRIKI wa Mashindano ya Quran ya Fainali za TUZO za Kimataifa za Quran Tukufu Tanzania kutoka Nchini Rwanda Khalilu -llah Irasubiza akisoma Quran wakati wa mashndano hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam leo 16-4-2023MSHIRIKI wa Mashindano ya Quran ya Fainali za TUZO za Kimataifa za Quran Tukufu Tanzania kutoka Nchini Kuwait Othman RSRAlrashed, akisoma Quran wakati wa mashndano hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam leo 16-4-2023
MSHIRIKI wa Mashindano ya Quran ya Fainali za TUZO za Kimataifa za Quran Tukufu Tanzania kutoka Nchini India Zainul Abid Valiyeriyl, akisoma Quran wakati wa mashndano hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam leo 16-4-2023
MSHIRIKI wa Mashindano ya Quran ya Fainali za TUZO za Kimataifa za Quran Tukufu Tanzania kutoka Nchini Marekani Adnan Busuri Maye, akisoma Quran wakati wa mashndano hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam leo 16-4-2023MSHIRIKI wa Mashindano ya Quran ya Fainali za TUZO za Kimataifa za Quran Tukufu Tanzania kutoka Nchini Bangladesh MD Sadikur Rahman, akisoma Quran wakati wa mashndano hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam leo 16-4-2023
MSHIRIKI wa Mashindano ya Quran ya Fainali za TUZO za Kimataifa za Quran Tukufu Tanzania kutoka Nchini South Africa Abdirahaman Mohamud Mohamed, akisoma Quran wakati wa mashndano hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam leo 16-4-2023MSHIRIKI
wa Mashindano ya Fainali za TUZO za Kimataifa za Quran Tukufu Tanzania kutoka Zanzibar.
Fahadi Haji Ali akisoma Quran wakati wa mashndano hayo yaliyofanyika katika
ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam leo 16-4-2023
MSHIRIKI wa Mashindano ya Quran ya Fainali za TUZO za Kimataifa za Quran Tukufu Tanzania kutoka Nchini Libya Khalid Adrees Abraheem, akisoma Quran wakati wa mashndano hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam leo 16-4-2023MSHIRIKI wa Mashindano ya Quran ya Fainali za TUZO za Kimataifa za Quran Tukufu Tanzania kutoka Nchini Russia Rakhimov Burkhoniddin, akisoma Quran wakati wa mashndano hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam leo 16-4-2023
MSHIRIKI wa Mashindano ya Quran ya Fainali za TUZO za Kimataifa za Quran Tukufu Tanzania kutoka Nchini Yemen Galal Hamid Saeed, akisoma Quran wakati wa mashndano hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam leo 16-4-2023.Ameibuka mshindi wa kwanza katika Fainali za TUZO za Kimataifa za Quran Tukufu kwa mwaka 2023.
MSHIRIKI wa Mashindano ya Quran ya Fainali za TUZO za Kimataifa za Quran Tukufu Tanzania kutoka Tanzania Abdul-Wahabu Daudi Biro, akisoma Quran wakati wa mashndano hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam leo 16-4-2023
No comments:
Post a Comment