Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara maalum za SMZ Masoud Ali Mohamed(katikati)akiwa pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Rashid Hadidi Rashid na Wanafamilia na Wananchi mbalimbali katika Dua ya kumuombea Aliekua Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Awamu ya Nne Marehemu Sheikh Idriss Abdulwakil,Dua ilioongozwa na Sheikh Said Mohamed Said(Wakwanza kushoto) Makunduchi Wilaya ya Kusini Unguja.Ikiwa ni Maadhimisho ya Wiki ya kuwaenzi Viongozi wa Kitaifa Zanzibar.
Mkuu wa Mkoa wa Kusini Rashid Hadid Rashid akitoa maelezo na kumkaribisha Mgeni Rasmi katika hafla ya kumuombea Dua Aliekua Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Awamu ya Nne Marehemu Sheikh Idriss Abdulwakil, Makunduchi Wilaya ya Kusini Unguja.Ikiwa ni Maadhimisho ya Wiki ya kuwaenzi Viongozi wa Kitaifa Zanzibar.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara maalum za SMZ Masoud Ali Mohamed(katikati)akitoa salamu za Serikali katika hafla ya kumuombea Dua Aliekua Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Awamu ya Nne Marehemu Sheikh Idriss Abdulwakil, Makunduchi Wilaya ya Kusini Unguja.Ikiwa ni Maadhimisho ya Wiki ya kuwaenzi Viongozi wa Kitaifa Zanzibar.
Muakilishi wa Familia akitoa maelezo ya Shukurani kwa Serikali katika hafla ya kumuombea Dua Aliekua Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Awamu ya Nne Marehemu Sheikh Idriss Abdulwakil, Makunduchi Wilaya ya Kusini Unguja.Ikiwa ni Maadhimisho ya Wiki ya kuwaenzi Viongozi wa Kitaifa Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.
No comments:
Post a Comment