Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhi sadaka kwa Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba, hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya mpira Micheweni Pemba na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Mhe. Salama Mbarouk Khatib. 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi wa Makundi Maalum wa Mkoa wa Kaskazini Pemba baada ya kumalizika kwa ugawaji wa Sadaka ya futari kwa Wananchi hao wa Mkoa wa Kaskazini Pemba iliyofanyika katika viwanja vya Micheweni Pemba. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.