RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimaribisha tende Mufti Mkuu wa Zanzibar
Sheikh.Saleh Omar Kabi, wakati wa Futari Maalum aliyowaandaliwa Wananchi wa
Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja kupitia makundu maalum, iliyofanyika katika
ukumbi wa Sheikh.Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini
Zanzibar jana 8-4-2023 na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi
Unguja Mhe. Idrissa Mustafa Kitwana
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj.Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Wananchi wa Mkoa wa Mjini
Magharibi Unguja katika futari maalum aliyowaandaliwa Wananchi wa makundi
maalum, iliyofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni
Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar na (kulia kwa Rais) Mufti Mkuu wa
Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.
Mohammed Said Dimwa na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja
Mhe. Idrissa Mustafa Kitwana
WANANCHI wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja
wakijumuika na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj
Dk.Hussein Ali Mwinyi, katika hafla ya Futari maalum aliyowaandalia katika
ukumbi wa Sheikh.Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini
Zanzibar, iliyofanyika jana 8-4-2023

KATIBU wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi
Mhandisi Zena Ahmed Said akijumuika na Wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi
Unguja katika hafla ya futari maalum iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi, iliyofanyika katika
ukumbi wa Sheikh.Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini
Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi wa
Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja kwa kujumuika nao katika futari maalum
aliyowaandali, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Sheikh. Idrissa
Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar, na (kulia kwa Rais) Mufti Mkuu wa
Zanzibar Sheikh. Saleh Omar Kabi na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Mohammed
Said Dimwa na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.
Idrissa Mustafa Kitwana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi
na Utawala Bora Zanzibar.Mhe. Haroun Ali Suleiman
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Wananchi wa Mkoa wa Mjini
Magharibi Unguja katika kuitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar
Sheikh.Saleh Omar Kabi,(kulia kwa Rais) baada ya kumalizika kwa hafla ya futari
maalum aliyowaandalia Wananchi wa Makundi Maalum wa Mkoa wa Mjini Magharibi
Unguja, iliyofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni
Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa
Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrissa Mustafa Kitwana na Waziri wa Nchi Ofisi ya
Rais Katiba,Sheria,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe.Haroun Ali Suleiman na
(kulia kwa Mufti) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Mohammed Said Dimwa
WANANCHI wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja
wakishiriki katika kuitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh
Omar Kabi(hayupo pichani) baada ya kumalizika kwa hafla ya futari maalum iliyoandaliwa
na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali
Mwinyi, iliyofanyika katika ukumbi wa Sheikh.Idrissa Abdulwakil Kikwajuni
Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar jana 8-4-2023

Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidha msaada wa futari na Tende Bi.Hidaya
Hana Mrikisisa, baada ya kumalizika kwa hafla ya futari aliyowaandalia Wananchi
wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja wa Makundi Maalum, iliyofanyika katika ukumbi
wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar
jana 8-4-2023, na (kulia kwa Rais) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Mohammed
Said Dimwa na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja
Mhe.Idrissa Mustafa Kitwana
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidha msaada wa futari na Tende Bi.Fauzia
Rajab Shaban,baada ya kumalizika kwa hafla ya futari aliyowaandalia Wananchi wa
Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja wa Makundi Maalum, iliyofanyika katika ukumbi wa
Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar jana
8-4-2023, na (kulia kwa Rais)Waziri wa Nchi Ofisi ya
Rais,Katiba,Sheria,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe, Haroun Ali Suleiman,na
(kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrissa Mustafa
Kitwana
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidha msaada wa futari na Tende Bwa.Hashim
Mashaka Salim, baada ya kumalizika kwa hafla ya futari aliyowaandalia Wananchi
wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja wa Makundi Maalum, iliyofanyika katika ukumbi
wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar
jana 8-4-2023, na (kulia kwa Rais) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Mohammed
Said Dimwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Katiba,Sheria,Utumishi na Utawala
Bora Zanzibar Mhe.Haroun Ali Suleiman.(kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini
Magharibi Unguja Mhe.Idrissa Mustafa Kitwana.
No comments:
Post a Comment