Habari za Punde

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Mpango Akiwasili Loliondo Wilayani Ngorongoro

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiwasili katika eneo la Wasso – Loliondo Wilaya ya Ngorongoro mkoani Arusha kwaajili ya ziara ya kikazi katika Wilaya ya Ngorongoro leo tarehe 17 Mei 2023.
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.