RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
akisalimiana na Viongozi mbambali alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa
Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B”
Unguja leo kuhudhuria hafla ya Uzinduzi wa Mradi wa Kuwajengea Uwezo Vijana ili
Waweze Kujiajiri na Kuajirika katika Sekta ya Uchumi wa Buluu
MSANII
wa Kikundi cha Wapendanao Ndg.Jongo Ali
Ame akionesha umahiri wake wa kupiliza Zumari kunogesha Ngoma ya Msewe ikitowa
burudani, wakati wa Uzinduzi wa Mradi wa Kuwajengea Uwezo Vijana ili Waweze
Kujiajiri na Kuajirika katika Sekta ya Uchumi wa Buluu, uzinduzi wa mradi huo
uliyofanyika katka ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege
Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 17-5-2023
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
akizindua Mradi wa Kuwajengea Uwezo Vijana ili Waweze Kujiajiri na Kuajirika
katika Sekta ya Uchumi wa Buluu, uzinduzi huo uliyofanyika katika ukumbi wa
Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B”
Unguja Jijini Zanzibar leo 17-5-2023 na
(kushoto kwa Rais) Mwakilishi Mkaazi wa Benki ya Maendeleo Afrika Bi. Patricia
N.Laverley na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe.Lela Mohamed
Mussa na (kulia kwa Rais) Naibu Katibu
Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Mohammed Said Dimwa.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
akikabidhiwa zawadi maalum ya Jahazi na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali
Zanzibar Mhe.Lela Mohamed Mussa, baada ya kuzindua Mradi wa Kuwajengea Uwezo
Vijana ili Waweze Kujiajiri na Kuajirika katika Sekta ya Uchumi wa Buluu,
uzinduzi huo uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Kiembesamaki
Wilaya ya Magharibi “B”Unguja Jijini Zanzibar leo 17-5-2023
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
akihutubia katika hafla ya Uzinduzi wa Mradi wa Kuwajengea Uwezo Vijana ili
Waweze Kujiajiri na Kuajirika katika Sekta ya Uchumi wa Buluu, uzinduzi huo
uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege
Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 17-5-2023.

WANANCHI,
Walimu na Vijana wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza baada ya
kuuzindua Mradi wa Kuwajengea Uwezo Vijana ili Waweze Kujiajiri na Kuajirika
katika Sekta ya Uchumi wa Buluu, uzinduzi huo uliyofanyika katika ukumbi wa
Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B”
Unguja leo 17-5-2023.
VIONGOZI
wa Serikali na Wageni waalikwa wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali
Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika hafla ya Uzinduzi wa Mradi wa
Kuwajengea Uwezo Vijana ili Waweze Kujiajiri na Kuajirika katika Sekta ya
Uchumi wa Buluu, uzinduzi huo uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden
Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 17-5-2023
WANANCHI,
Walimu na Vijana wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza baada ya
kuuzindua Mradi wa Kuwajengea Uwezo Vijana ili Waweze Kujiajiri na Kuajirika
katika Sekta ya Uchumi wa Buluu, uzinduzi huo uliyofanyika katika ukumbi wa
Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B”
Unguja leo 17-5-2023.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
akiondoka katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Kiembesamaki Wilaya Magharibi
“B” Unguja Jijini Zanzibar, baada ya kuuzindua Mradi wa Kuwajengea Uwezo Vijana
ili Waweze Kujiajiri na Kuajirika katika Sekta ya Uchumi wa Buluu, uzinduzi huo
uliyofanyika katika ukumbi wa hoteli hiyo
leo 17-5-2023 na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja
Mhe. Idrissa Kitwana Mustafa na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Elimu na Mafunzo
ya Amali Zanzibar Mhe. Lela Mohamed Mussa.
No comments:
Post a Comment