Habari za Punde

JK AWAFAGILIA MBWANA SAMATTA NA ALI KIBA, ILA AWATAKA MISAADA WANAYOTOA ISIISHIE MAKWAO TU BALI WAIELEKEZE PIA MIKOA MINGINE

Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili kuwa mgeni rasmi  katika mchezo wa hisani kati ya Team Samatta na Team Kiba uliofanyika Azam Complex Chamazi Jumanne Juni 20, 2023. Pamoja naye ni Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe. Mwanahamisi Munkunda (shati jekundu) Mkurugenzi  wa Michezo katika Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bi. Neema Msitha (kushoto)  na Mwandaaji wa shughuli hiyo Bi. Doris Mollel, kulia.











 








No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.