Habari za Punde

Dr Hussein Mwinyi ashiriki kwenye kikao Maalum cha Kamati kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Ikulu Chamwino, Dodoma

Makamu Mwenyekiti CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi ameshiriki kikao Maalum cha Kamati kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika Ikulu Chamwino, Dodoma na kimeongozwa na Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt Samia Suluhu Hassan
Baadhi ya wajumbe wa kamati kuu ya  Halmashauri Kuu ya CCM Taifa wakiwa katika kikao kilichongozwa na Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt Samia Suluhu Hassan huko  Ikulu Chamwino, Dodoma leo. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.