Habari za Punde

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.DKT. Mpango Akiondoka Nchini Angola

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango leo tarehe 18 Agosti 2023 akiondoka katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa 4 De Fevereiro Jijini Luanda nchini Angola mara baada ya kuhitimishwa kwa Mkutano wa 43 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini Mwa Afrika (SADC). (kushoto ni Mke wa Makamu wa Rais Mama Mbonimpaye Mpango)


 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.