Habari za Punde

Mhe Othman akutana na uongozi wa kampuni ya Quantum

MAKAMU wa kwanza wa rais wa Zanzibar Othman Masoud Othman,(katikati ) akizungunza na baadhi ya Viongozi wa Kampuni ya Quantum  huko ofisini kwake migombani mjini Zanzibar leo tarehe 29.08.23. kulia ni  Meneja  Msimamizi wa Kampuni hiyo Emanuel Sikawa na kushoto ni  Meneja wa Coconut Fm Abdulimalik Sangusa.

MAKAMU wa kwanza wa rais wa Zanzibar Othman Masoud Othman, (katikati ) akizungunza na baadhi ya Viongozi wa Kampuni ya Quantum  huko ofisini kwake migombani mjini Zanzibar leo tarehe 29.08.23. kulia ni  Meneja  Msimamizi wa Kampuni hiyo Emanuel Sikawa . 

MAKAMU wa kwanza wa rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman (katikati ) akizungunza na baadhi ya Viongozi wa Kampuni ya Quantum  huko ofisini kwake migombani mjini Zanzibar leo tarehe 29.08.23. kulia ni  Meneja  Msimamizi wa Kampuni hiyo Emanuel Sikawa . Picha na ofisi ya Makamu wa kwanza wa rais. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.