
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi, wageni mbalimbali
pamoja na wafanyakazi wa Hoteli iitwayo Kwanza mara baada ya kuifungua Hoteli
hiyo iliyopo Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa pamoja na
mmiliki wa Hoteli ya Kitalii iitwayo Kwanza Bw. Hossam Elshaer kuashiria
ufunguzi wa Hoteli hiyo iliyopo Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Hoteli
iitwayo Kwanza iliyopo Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja, ZanzibarRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Samia Suluhu Hassan akiwa na mmiliki wa Hoteli ya Kitalii iitwayo Kwanza Bw.
Hossam Elshaer wakati alipokuwa akitembelea Hoteli hiyo mara baada ya kuwasili
Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja Zanzibar katika shamrashamra za kuelekea kwenye
kilele cha Tamasha la Kizimkazi. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi, wageni mbalimbali pamoja na wafanyakazi
wa Hoteli iitwayo Kwanza mara baada ya kuifungua Hoteli hiyo iliyopo Kizimkazi
Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea zawadi kutoka kwa mmiliki wa
Hoteli ya Kitalii iitwayo Kwanza iliyopo Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja
Zanzibar.
No comments:
Post a Comment