Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika
viwanja vya Paje kwa ajili ya kuhudhuria Tamasha la Kizimkazi (Usiku wa Samia)
Paje Zanzibar tarehe 30 Agosti, 2023.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akielekea Jukwaa
Kuu kwa ajili ya kuhudhuria Tamasha la Kizimkazi (Usiku wa Samia) Paje Zanzibar
tarehe 30 Agosti, 2023.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia vikundi
mbalimbali vya Sanaa vikitumbuiza kwenye Tamasha la Kizimkazi (Usiku wa Samia) katika
viwanja vya Paje Zanzibar tarehe 30 Agosti, 2023.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia Simba
wakati akikagua mabanda mbalimbali yaliyopo kwenye viwanja vya Paje katika
Tamasha la Kizimkazi (Usiku wa Samia) Zanzibar tarehe 30 Agosti, 2023.
Wananchi
kutoka sehemu mbalimbali nchini wakiwa kwenye viwanja vya Paje kuhudhuria
Tamasha la Kizimkazi (Usiku wa Samia) lililofanyika Paje Zanzibar tarehe 30
Agosti, 2023.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikagua mabanda ya
Maonesho ya Taasisi mbalimbali katika Tamasha la Kizimkazi (Usiku wa Samia)
kwenye viwanja vya Paje Zanzibar tarehe 30 Agosti, 2023.
No comments:
Post a Comment