RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza
Afisa wa Maji,Usafi na Mazingira wa UNICEF Ndg. Marko Msambazi alipotembelea
maonyesho, kabla ya kulifungua Kongamano la Maji Zanzibar lililofanyika katika
ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar Wilaya ya Mjini Unguja leo 16-8-2023
na (kulia kwa Rais) Waziri wa Maji, Nishati na Madini Zanzibar Mhe. Shaib
Hassan Kaduara na Naibu Waziri wa Maji Tanzania Mhandisi Maryprisca Mahundi.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
akimsikiliza Mchambuzi wa Sera wa Taasisi ya Uongozi Ndg. Emmanuel Alfred,
alipotembelea mabanda ya maonesho, kabla ya kulifungua Kongamano la Maji
Zanzibar linalofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Wilaya ya Mjini
Unguja Jijini Zanzibar leo 16-8-2023 na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa
Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Kitwana Mustafa na (kulia kwa Rais) Waziri
wa Maji,Nishati na Madini Zanzibar Mhe. Shaib Hassan Kaduara.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
akimsikiliza Mwakilishi wa Taasisi ya ORASECOM.Ndg.Boniface Mabeo, wakati
akitembelea maonesho ya Kongamano la Maji Zanzibar, yaliyofanyika katika
viwanja vya Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar Wilaya ya Mjini Unguja leo 16-8-2023
na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrisa
Kitwana Mustafa na (kulia kwa Rais) Waziri wa Maji Nishati na Madini Zanzibar
Mhe. Shaib Hassan Kaduara.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi
Biashara na Huduma kwa Wateja wa Mamlaka ya Maji Zanzibar (ZAWA) Kazija Mussa Msheba, wakati akitembelea
Maonesho ya Kongamano la Maji Zanzibar, kabla ya kulifungua, linalofanyika katika
ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo
16-8-2023 na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.
Idrisa Kitwana Mustafa na (kulia kwa Rais) Waziri wa Maji Nishati na Madini
Zanzibar Mhe. Shaib Hassan Kaduara na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi
Biashara na Huduma kwa Wateja wa Mamlaka ya Maji Zanzibar (ZAWA) Kazija Mussa Msheba, wakati akitembelea
Maonesho ya Kongamano la Maji Zanzibar, kabla ya kulifungua, linalofanyika katika
ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo
16-8-2023 na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.
Idrisa Kitwana Mustafa na (kulia kwa Rais) Waziri wa Maji Nishati na Madini
Zanzibar Mhe. Shaib Hassan Kaduara
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
akihutubia na kulifungua Kongamano la Maji Zanzibar linalofanyika katika ukumbi
wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar Wilaya ya Mjini Unguja leo 16-8-2023

akikabidhi TUZO Maalumu ya Waazilishi wa
Kongamano la Maji Zanzibar, Waziri wa
Maji,Nishati na Madini Zanzibar.Mhe. Shaib Hassan Kaduara, wakati wa hafla ya
Ufunguzi wa Kongamano la Maji Zanzibar linalofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya
Verde Mtoni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 16-8-2023
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
akikabidhi TUZO Maalumu ya Waazilishi wa
Kongamano la Maji Zanzibar, Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Global Water Partnership Tanzania.(GWPTZ) Dr. Victor
Kongo, wakati wa hafla ya Ufunguzi wa Kongamano la Maji Zanzibar linalofanyika katika
ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo
16-8-2023 na (Kushoto kwa Rais) Naibu Waziri wa Maji Tanzania Mhandisi
Maryprisca Mahundi.
WASHIRIKI
wa Kongamano la Maji Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Ufunguzi wa Kongamano hilo,
wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali
Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kulifungua Kongamano hilo katika ukumbi
wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar Wilaya ya Mjini Unguja leo 16-8-2023.
No comments:
Post a Comment