Habari za Punde

Waziri Mhe.Angellah Kariuki Bungeni

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) (kulia) akimsikiliza Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara, Mhe. Agnes Marwa akimuelezea changamoto mbalimbali za masuala ya uhifadhi na namna ya kuzitatua Bungeni jijini Dodoma leo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.