Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar, Bw. Khamis Abdulla Said, ametiliana saini Mkataba wa Ujenzi wa Skuli za Ghorofa na kampuni ya Rok Development kutoka nchini Uturuki, katika Ukumbi wa Mikutano wa Wizara hiyo Mazizini Unguja.
Skuli hizo zitakazojengwa kwa kutumia Teknolojia ya Kisasa, zitajegwa katika maeneo mbalimbali ya Unguja na Pemba.
Imetolewa na Kitengo cha Habari na Mawasiliano(WEMA).
Tarehe:7/09/2023.
No comments:
Post a Comment