Habari za Punde

JB Anyakua TUZO ya Hollywood and African Prestigious Awards (Hapawards )2023

Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro akimkabidhi Muigizaji wa Filamu Bw. Jacob Steven (JB)Tuzo ya Hollywood and African Prestigious Awards (Hapawards) 2023 kutoka nchini Marekani katika Kipengele Cha Muigizaji Bora wa Filamu "Best Bongo Movie Actor" zilizofanyika hivi karibuni nchini Marekani.

 Tukio hilo limefanyika Oktoba 17, 2023 Jijini Dar es Salaam


 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.