Habari za Punde

Mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar "PBZ Premier League 2023-24" Kati ya Zimamoto na Mlandege.Timu ya Zimamoto Imeshinda Mchezo huo kwa Bao.1-0

Mchezaji wa Timu ya Zimamoto Mudathir Nassor na Mlandege  Mohammed Ali wakiwania mpira wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar "PBZ Premier League 2023/2024" mchezo uliofanyika Uwanja wa Mao Zedung Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar.Timu ya Zimamoto imeshinda mchezo huo kwa bao 1-0.

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.