Habari za Punde

Ndg.Kinana Azungumza na Balozi wa Norway Nchini Tanzania Mhe.Tone Tinnes Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba Dar es Salaam

Makamu Mwenyekiti wa  Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Ndugu Abdurahman Kinana akizungumza na  Balozi wa Norway Nchini Tanzania Mhe. Tone Tinnes walipokutana   leo Jumatano, Oktoba 11, 2023, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Mtaa wa Lumumba, jijini Dar es salaaam. 

Makamu Mwenyekiti wa
  Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Ndugu Abdurahman Kinana amekutana na kufanya mazungumzo na  Balozi wa Norway Nchini Tanzania Mhe. Tone Tinnes leo Jumatano, Oktoba 11, 2023, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, jijini Dar es salaaam.

Makamu Mwenyekiti wa  Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Ndugu Abdurahman Kinana akizungumza na  Balozi wa Norway Nchini Tanzania Mhe. Tone Tinnes walipokutana   leo Jumatano, Oktoba 11, 2023, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Mtaa wa Lumumba, jijini Dar es salaaam.  
Makamu Mwenyekiti wa  Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Ndugu Abdurahman Kinana akiwa katika Picha ya Pamoja na  Balozi wa Norway Nchini Tanzania Mhe. Tone Tinnes walipokutana na kufanya mazungumzo  leo Jumatano, Oktoba 11, 2023, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Mtaa wa Lumumba, jijini Dar es salaaam.
(Picha na Fahadi Siraji )

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.