Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan akimsalimia Waziri Mkuu Mstaafu wa Tanzania Balozi Dkt. Salim Ahmed Salim alipofika nyumbani kwake
Oysterbay jijini Dar es Salaam kumjulia hali mara baada ya kumalizika kwa uzinduzi wa Tovuti ya Hifadhi ya Nyaraka
za Kumbukumbu za Kidigitali za Kiongozi huyo, wakati wa hafla ya uzinduzi huo iliyofanyika katika Kituo
cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam
tarehe 30 Septemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu Balozi Dkt.Salim Ahmed Salim alipofika nyumbani kwake Oystebay Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kumjulia hali yake,mara baada ya uzinduzi wa Tovuti ya Hifadhi ya Nyaraka
za Kumbukumbu za Kidigitali za Kiongozi huyo, uliyofanyika katika Kituo
cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam
tarehe 30 Septemba, 2023.
No comments:
Post a Comment