Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wafanyabiashara, Wakuu wa Taasisi mbalimbali pamoja na Wawekezaji kutoka India na Tanzania kwenye Mkutano wa Jukwaa la Wafanyabiashara uliofanyika New Delhi tarehe 10 Oktoba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wafanyabiashara, Wakuu wa Taasisi mbalimbali pamoja na Wawekezaji kutoka India na Tanzania kwenye Mkutano wa Jukwaa la Wafanyabiashara uliofanyika New Delhi.
Viongozi, Wafanyabiashara
pamoja na Wakuu wa Taasisi mbalimbali wakiwa kwenye Mkutano wa Jukwaa la
Wafanyabiashara wa Tanzania na India uliofanyika New Delhi
Viongozi, Wafanyabiashara
pamoja na Wakuu wa Taasisi mbalimbali wakiwa kwenye Mkutano wa Jukwaa la
Wafanyabiashara wa Tanzania na India uliofanyika New Delhi
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Waziri wa Mambo ya
Nje na Uhusiano wa Afrika Mashariki Mhe. January Makamba wakati wa Mkutano wa
Jukwaa la Wafanyabiashara wa Tanzania na India uliofanyika New Delhi.
Viongozi, Wafanyabiashara
pamoja na Wakuu wa Taasisi mbalimbali wakiwa kwenye Mkutano wa Jukwaa la
Wafanyabiashara wa Tanzania na India uliofanyika New Delhi
No comments:
Post a Comment