Habari za Punde

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Ajumuika Katika Misa Maalum ya Kumuombea Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere iliyofanyika Kanisa Katoliki Parokia ya Roho Mtakatifu, Babati Mkoani Manyara

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na Viongozi mbalimbali pamoja na Waumini wa Kanisa Katoliki Parokia ya Roho Mtakatifu wakati wa Misa Maalum ya Kumbukizi ya kumuombea Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere iliyofanyika Babati Mkoani Manyara tarehe 14 Oktoba, 2023. 

Misa Maalum ya Kumbukizi ya Kumuombea Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere iliyofanyika Kanisa Katoliki Parokia ya Roho Mtakatifu, Babati Mkoani Manyara 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na Viongozi mbalimbali pamoja na Waumini wa Kanisa Katoliki Parokia ya Roho Mtakatifu wakati wa Misa Maalum ya Kumbukizi ya kumuombea Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere iliyofanyika Babati Mkoani Manyara.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na Viongozi mbalimbali pamoja na Waumini wa Kanisa Katoliki Parokia ya Roho Mtakatifu wakati wa Misa Maalum ya Kumbukizi ya kumuombea Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere iliyofanyika Babati Mkoani ManyaraMatukio mbalimbali katika Misa Maalum ya Kumbukizi ya kumuombea Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere iliyofanyika katika Kanisa Katoliki Parokia ya Roho Mtakatifu Babati Mkoani Manyara tarehe 14 Oktoba, 2023. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.