RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa
Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa MCL.Bw.Leonard
Mususa na Mkurugenzi Mtendaji MCL.Bakari Machumu, alipowasili katika viwanja
vya Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Zanzibar Wilaya ya Magharibi “B”
Unguja kwa ajili ya ufunguzi wa Kongamano la Miaka Mitatu ya Uongozi wa Dk.
Hussein Ali Mwinyi, lililofanyika leo katika ukumbi huo.31-10-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza ana kwa ana wakati wa Kongamano
la Miaka Mitatu ya Uongozi wake, lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya
Golden Tulip Uwanja wa Ndege Zanzibar Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo
31-10-2023 na (kushoto) Mkururugenzi Mtendaji wa MCL.Ndg. Bakari Machumu
MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed
Suleiman Abdulla akifuatilia Kongamano la Miaka Mitatu ya Uongozi wa Dk.Hussein
Mwinyi,lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege
Zanzibar leo 31-10-2023, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza ana kwa ana na
Mkurugenzi Mtendaji wa Gazeti la MCL.Ndg. Bakari Machumu, na (kushoto kwa Makamu ) Waziri wa Ujenzi Mawasiliani na
Uchukuzi Zanzibar Mhe.Dk.Khalid Salum Mohammed na (kulia kwake) Mkurugenzi wa
Bodi ya Wakurugenzi wa Gazeti la MCL Ndg.Leonard Mususa
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza ana kwa ana wakati wa Kongamano
la Miaka Mitatu ya Uongozi wake, lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya
Golden Tulip Uwanja wa Ndege Zanzibar Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo
31-10-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza ana kwa ana wakati wa Kongamano la Miaka Mitatu ya Uongozi wake, lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Zanzibar Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 31-10-2023
WASHIRIKI wa Kongamano la kuadhimisha Miaka
Mitatu ya Uongozi wa Dk.Hussein Ali Mwinyi, wakifuatilia maongozi ya ana kwa ana
ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali
Mwinyi na Mkurugenzi Mtendaji wa Gazeti ya Mwananchi Ndg. Bakari Machumu,
lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Zanzibar
Wilaya ya Magharibi “B” Unguja lililofanyika leo 31-10-2023

Wilaya ya Magharibi “B” Unguja lililofanyika leo 31-10-2023WASHIRIKI wa Kongamano la kuadhimisha Miaka
Mitatu ya Uongozi wa Dk.Hussein Ali Mwinyi, wakifuatilia maongozi ya ana kwa ana
ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali
Mwinyi na Mkurugenzi Mtendaji wa Gazeti ya Mwananchi Ndg. Bakari Machumu,
lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Zanzibar
Wilaya ya Magharibi “B” Unguja lililofanyika leo 31-10-2023
WASHIRIKI wa Kongamano la kuadhimisha Miaka
Mitatu ya Uongozi wa Dk.Hussein Ali Mwinyi, wakifuatilia maongozi ya ana kwa ana
ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali
Mwinyi na Mkurugenzi Mtendaji wa Gazeti ya Mwananchi Ndg. Bakari Machumu,
lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Zanzibar
Wilaya ya Magharibi “B” Unguja lililofanyika leo 31-10-2023.
No comments:
Post a Comment