Habari za Punde

Ziara ya Naibu Waziri Mhe.Khamis Wilayani Kyela

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis akipata maelezo kutoka kwa mkulima na mfugaji Bw. Donald Sanga kuhusu jiko nishati ya biogesi na uzalishaji wake alipofanya ziara ya kukagua Mradi wa Kuhifadhi Ardhi katika Bonde la Ziwa Nyasa katika Wilaya ya Kyela mkoani Mbeya unaotekelezwa na Ofisi ya Makamu wa Rais na kufadhiliwa na Mfuko wa Mazingira wa Dunia (GEF).

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis akizungumza wakati wa ziara ya kukagua Mradi wa Kuhifadhi Ardhi katika Bonde la Ziwa Nyasa katika Wilaya ya Kyela mkoani Mbeya unaotekelezwa na Ofisi ya Makamu wa Rais na kufadhiliwa na Mfuko wa Mazingira wa Dunia (GEF).

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis akisikiliza maelezo kutoka kwa Afisa Uvuvi Frank Mushi kuhusu mashine ya kuzalishia vifaranga vya samaki alipofanya ziara ya kukagua Mradi wa Kuhifadhi Ardhi katika Bonde la Ziwa Nyasa katika Wilaya ya Kyela mkoani Mbeya unaotekelezwa na Ofisi ya Makamu wa Rais na kufadhiliwa na Mfuko wa Mazingira wa Dunia (GEF)

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis akikagua bwawa la kufugia samaki katika alipofanya ziara ya kukagua Mradi wa Kuhifadhi Ardhi katika Bonde la Ziwa Nyasa katika Wilaya ya Kyela mkoani Mbeya unaotekelezwa na Ofisi ya Makamu wa Rais na kufadhiliwa na Mfuko wa Mazingira wa Dunia (GEF)

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis akikagua kitalu cha miche ya bora ya michikichi aina ya tenera alipofanya ziara ya kukagua Mradi wa Kuhifadhi Ardhi katika Bonde la Ziwa Nyasa katika Wilaya ya Kyela mkoani Mbeya unaotekelezwa na Ofisi ya Makamu wa Rais na kufadhiliwa na Mfuko wa Mazingira wa Dunia (GEF).

(PICHA NA OFISI YA MAKAMU WA RAIS)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.