Habari za Punde

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa Ateta na Mkurugenzi Mkuu wa FAO

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula  na Kilimo, (FAO), Dkt.  Qu Dongyu baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika kwenye makao makuu ya shirika hilo , Rome nchini Italia Oktoba  18, 2023. Mheshimiwa Majaliwa anamuwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika mkutano wa Jukwaa la Kimataifa la Chakula Duniani linalofanyika makao makuu ya FAO kuanzia Oktoba 16, 2023 hadi Oktoba 20, 2023.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akitia saini kitabu cha wageni alipofanya mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa ya Chakula na Kilimo (FAO) Dkt. Qu Dongyu, kwenye makao makuu wa shirika hilo, Oktoba 18,2023 Rome, Italia. Mheshimiwa Majaliwa anamuwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika mkutano wa Jukwaa la Kimataifa la Chakula Duniani linalofanyika makao makuu ya FAO kuanzia Oktoba 16, 2023 hadi Oktoba 20, 2023
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula  na Kilimo, (FAO), Dkt.  Qu Dongyu walipofanya mazungumzo yao  kwenye makao makuu ya shirika hilo , Rome nchini Italia Oktoba  18, 2023.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula  na Kilimo, (FAO), Dkt.  Qu Dongyu walipofanya mazungumzo yao  kwenye makao makuu ya shirika hilo , Rome nchini Italia Oktoba  18, 2023.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimkabidhi zawadi ya picha Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa ya Chakula na Kilimo (FAO) Dkt. Qu Dongyu, baada ya  mazungumzo yao kwenye makao makuu wa shirika hilo, Oktoba 18,2023 Rome, Italia. Mheshimiwa Majaliwa anamuwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika mkutano wa Jukwaa la Kimataifa la Chakula Duniani linalofanyika makao makuu ya FAO kuanzia Oktoba 16, 2023 hadi Oktoba 20, 2023.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.