Habari za Punde

Kutoka Bungeni Jijini Dodoma

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Same Magharibi, David Mathayo David (katikati) na Mbunge wa Viti Maalum, Zainab Katimba, bungeni jijini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri wa Kilimo, David Silinde, bungeni jijini Dodoma
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, Ummy Nderiananga akijibu maswali, bungeni jijini Dodoma
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu, Patrobas Katambi akijibu maswali, bungeni jijini Dodoma, Novemba 1, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.