Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Mwinyi Amefungua Hospitalin ya Wilaya Vitongoji Pemba Akiwa Katika Ziaraya Yake Pemba


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi ( kushoto) akisalimiana na Viongozi wa Wizara ya Afya wakati alipowasili kufuingua Hospitali ya Wilaya Vitongoji Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba leo,katika shamra shamra za Miaka mitatu ya Uongozi wake ,akiwa katika ziara ya kukagua miradi ya maendeleo Mikoa ya Pemba
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa tatu kulia) akifungua pazia kama ishara ya uwekaji wa jiwe la ufunguzi wa Hospitali ya Wilaya -Vitongoji Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba leo akiwa katika ziara ya kukagua miradi ya maendeleo Mikoa ya Pemba katika shamra shamra za Miaka mitatu ya Uongozi wake (wa pili kulia)Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akikata utepe  kama ishara ya ufunguzi wa Hospitali ya Wilaya -Vitongoji Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba leo akiwa katika ziara ya kukagua miradi ya maendeleo Mikoa ya Pemba katika shamra shamra za Miaka mitatu ya Uongozi wake wakiwepo na Viongozi mbali mbali (wa nne kulia)Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) na Viongozi aliofuatana nao wakipata maelezo kutoka kwa Dr.Omar Atik (katikati)alipotembelea sehemu ya Upasuaji wa ujumla katika  Hospitali ya Wilaya -Vitongoji Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba, mara baada ya kuifungua rasmi leo akiwa katika ziara ya kukagua miradi ya maendeleo Mikoa ya Pemba katika shamra shamra za Miaka mitatu ya Uongozi wake
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi (katikati) wakiangalia wagonjwa waliolazwa na kuwajulia hali katika Hospitali ya Wilaya Vitongoji Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba leo,katika shamra shamra za Miaka mitatu ya Uongozi wake ,akiwa katika ziara ya kukagua miradi ya maendeleo Mikoa ya Pemba
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) na Mkewe Mama Mariam Mwinyi pamoja na Viongozi wengine wakipata maelezo kutoka kwa Dr.Salma Hamadi Ali (kulia)wakati alipotembelea Chumba maalum cha kulelea Watoto Njiti  katika  Hospitali ya Wilaya -Vitongoji Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba, mara baada ya kuifungua rasmi leo akiwa katika ziara ya kukagua miradi ya maendeleo Mikoa ya Pemba katika shamra shamra za Miaka mitatu ya Uongozi wake
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(kulia)alipokuwa kitoa hutuba yake leo baada ya ufunguzi rasmi wa Hospitali ya Wilaya -Vitongoji Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba, akiwa katika mfulilizo wa ziara ya kukagua miradi ya maendeleo Mikoa ya Pemba katika shamra shamra za Miaka mitatu ya Uongozi wake (kushoto) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zannzibar Dkt.Mohamed Said Mohamed (Dimwa) na Waziri wa Afya Mhe.Nassor Ahmed Mazrui.
Baadhi ya Madaktari wa Kichina wanaotoa huduma katika Hospitali mbali mbali wakiwa katika hafla ya ufunguzi wa  Hospitali ya Wilaya -Vitongoji Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba iliyofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi,akiwa katika ziara ya kukagua miradi ya maendeleo Mikoa ya Pemba katika shamra shamra za Miaka mitatu ya Uongozi wake
Baadhi ya Madaktari wanaofanyakazi katika  Hospitali ya Wilaya -Vitongoji Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba wakimsikiliza  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(hayupo pichani),alipokuwa kitoa hutuba yake Leo baada ya ufunguzi rasmi wa Hospitali hiyo akiwa katika ziara ya kukagua miradi ya maendeleo Mikoa ya Pemba katika shamra shamra za Miaka mitatu ya Uongozi wake.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.