Habari za Punde

Mhe.Masauni Amekutana na Mabalozi wa Nchi Tatu na Kufanya Nao Mazungumzo katika Ofisi Ndogo ya Wizara Jijini Dar es Salaam

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Qatar hapa nchini,Fahad Rashid Al-Marekhi(kushoto) muda mfupi baada ya kumaliza mazungumzo yaliyohusu Ushirikiano juu ya Masuala ya Ulinzi na Usalama kati ya wizara na nchi hiyo.Mazungumzo hayo yamefanyika Ofisi Ndogo ya wizara, jijini Dar es Salaam
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.