Habari za Punde

Michuano ya Kombe wa Mapinduzi Cup 2023/2024 Kati ya Azam na Chipukizi Mchezo Uliofanyika Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar. Timu ya Azam Imeshinda Mchezo huo kwa bao 1-0

Mshambuliaji wa Timu ya Azam akijiandaa kumpita beki wa Timu ya Chipukizi wakati wamchezo wao wa Kombe la Mapinduzi Cup 2023/2024 , mchezo uliofanyika jana usiku katika Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar. Timu ya Azam imeshinda mchezo huo kwa bao 1-0.
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.